FROM USIKU WA KHANGA ZA KALE FASHION SHOW(PHOTOS).
Usiku Wa Khanga Za Kale fashion show 2013 ulifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Wanamitindo walionyesha vipaji na ubunifu wao katika onyesho hilo la mwaka lililoratibiwa na mbunifu mkongwe Asia Idorous Khamsin.Angalia picha:
No comments:
Post a Comment