WITO: Tuache pembe zibaki panapostahili ambapo ni kwa tembo mwenyewe!
Tuesday, 5 November 2013
TUSINUNUE BIDHAA ZITOKANAZO NA MENO YA TEMBO KUKOMESHA MAUAJI YA TEMBO!
Kukomesha biashara ya meno ya ndovu tuache kununua bidhaa zinazotengenezwa zote zinazotengenezwa kwa mali ghafi hiyo. Tukiacha kununua,wauzaji watakuwa hawana biashara na wakikosa biashara wataacha kununua meno ya tembo. Ukiangallia picha zifuatazo inatia uchungu sana. Ni sawa na wewe ukatwe mkono au mguu na kuachwa hivi hadi unapoteza maisha.
WITO: Tuache pembe zibaki panapostahili ambapo ni kwa tembo mwenyewe!



WITO: Tuache pembe zibaki panapostahili ambapo ni kwa tembo mwenyewe!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
No 10 : Oriens By Van Cleef & Arpels No 9 : Love Sweet Love By Philosophy Love Sweet Love by Philosophy is an ideal summer perfum...
No comments:
Post a Comment