Friday 20 December 2013

BREAKING NEWZZ : BUNGE LASITISHWA MPAKA KESHO SAA TATU ASUBUHI, RAIS KIKWETE ATENGUA UWAZIRI WA MAWAZIEI WANNE


Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema kwamba Rais Kikwete amekubali kutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti ya 'Operesheni Tokomeza' iliyotolewa mapema leo bungeni. 
Mawaziri hao waliotenguliwa nyadhifa zao ni: MheDavid Mathayo David wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki wa Maliasili na Utalii, Mhe. Emmanuel Nchimbi wa Mambo ya Ndani na Mhe. Shamsi Vuai Nahodha wa Ulinzi. 
Mhe. Kagasheki alitangaza kujiuzulu mapema kabla uamuzi huo uliotangazwa na Waziri Mkuu.
CHANZO: Le Mutuz

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...