Wednesday 18 December 2013

JINSI YA KUPANGILIA NGUO

Wengi tunapenda kupendeza ila kazi ni jinsi ya kupangilia mavazi. Upangiliaji wa mavazi huzingatia mavazi yenyewe, viatu, mkoba(kama utahitaji kubeba) na mapambo kama hereni, bangili, mkufu/ ushanga. Unaweza kuvaa mavazi na mapambo ya thamani  ndogo na ukaonekana nadhifu kweli kutokana na jinsi ulivyopangilia na unaweza ukavaa mavazi ya gharama bila ya kuwa na mpangilio mzuri ukaonekana kituko.Angalia baadhi ya picha zifuatazo zikionyesha mpangilio mzuri unavyotakiwa kuwa.
LOTD
                          Evening combination

Spring 2013       LOTD

Combinations With Style          Work outfit

 For Your Prom Night




33 Polyvore Combinations For Every Day  33 Polyvore Combinations For Every Day

                                 Combinations For Every Day


LOTD  33 Polyvore Combinations For Every Day

                      Combinations For Every Day


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...