Wednesday 11 December 2013

VIONGOZI , WANANCHI NA WATU MASHUHURI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA NELSON ROLIHLAHLA MANDELA MJINI PRETORIA LEO



Military outriders escort funeral cortege carrying coffin of former South African President Mandela through street of Pretoria

Moving on ... The body of former South African president Nelson Mandela is transported. Picture: Getty
Msafara uliobeba mwili wa Nelson Mandela ukielekea  Ikulu iliyopo katika majengo ya umoja

Maofisa wa jeshi wakiliingiza jeneza lililobeba  mwili wa Nelson Mandela katika majengo ya umoja mjini Pretoria tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho

South African President Zuma is followed by Machel, widow of former South African President Nelson Mandela, after paying their respects at his coffin lying in state at the Union Buildings in Pretoria
Rais Jacob Zuma akifuatiwa na mjane wa Nelson Mandela, Graca Machel




SAFRICA-MANDELA-FAREWELL
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akipita kutoa heshima zake za mwisho kwa Nelson Mandela
SAFRICA-MANDELA-FAREWELL
Aliyekuwa rais wa mwisho wa utawala wa arpatheid  Fredrick de Klerk na mkewe,wakitoa heshima zao kwa Nelson Mandela

SAFRICA-MANDELA-FAREWELL
Mwanamitindo Naomi Campbell akitoa heshima zake za mwisho kwa Nelson Mandela

SAFRICA-MANDELA-FAREWELL
Mwimbaji wa kundi la  U2,  Bono (wa pili kushoto) na mkewe  Alison Hewson
SAFRICA-MANDELA-FAREWELL
Jengo la umoja ambapo jeneza lililo na mwili wa Nelson Mandela liliwekwa

Military outriders escort funeral cortege carrying coffin of former South African President Mandela through street of Pretoria
Wananchi wakiwa wamejipanga katika mitaa mbalimbali ya Pretoria ambayo msafara uliobeba jeneza la Nelson Mandela ulipita


Rais wa mstaafu wa Afrika ya kusini Thabo Mbeki akipita kutoa heshima zake kwa Nelson Mandela

People queue to watch former South African President Nelson Mandela's coffin at the Union Buildings on December 11
Wananchi wakiwa wamepanga mstaari kusubiri zamu zao kutoa heshima zao kwa Nelson Mandela


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...