Wema Sepetu akiwa na meneja Martin Kadinda
“Kadinda ndiye kila kitu kwangu, hata akiondoka na kukaa mbali na mimi kwa muda mrefu ninapokutana naye tu, nitamweleza kila kitu toka siku ya mwisho tuliyoachana hivyo inakuwa kama
sijapoteana naye ni kama vile nipo naye kila siku iendayo kwa Mungu,”anasema Wema.
Msanii huyu ameendelea kusema kwamba hata kampuni yake ya Endless Fame
film alifungua kwa msaada wa Kadinda baada ya kumshauri kwa hadhi yake anastahili kuwa na kampuni na kuachana kuigiza filamu za watu wengine.
CHANZO: FILAMU CENTRAL
No comments:
Post a Comment