Friday 17 January 2014

MOVIE YA LEO: 12 YEARS A SLAVE






In the antebellum United States, Solomon Northup, a free black man from upstate New York, is abducted and sold into slavery.

Director:

 

Writers

:

  (screenplay)Solomon Northup (based on "Twelve Years a Slave" by)

Stars:

 , ,  

Ukipata muda wa kuiangalia sinema hii fanya hivyo,ni nzuri na  maudhui yake unayapata 
zaidi kwa kuiangalia kuliko kuhadithiwa.Mimi nimeiangalia mwishoni mwa wiki iliyopita hii na CAPTAIN PHILLIP.12 YEARS A SLAVE ni sinema  inayotokana na stori halisi (true story) ya Solomon Northup, mtu aliyekuwa huru na maisha yake yeye na familia yake na ghafla akageuka kuwa mtumwa na kuwa mbali na familia yake.

Angalia baadhi ya picha kwenye sinema hii

Solomon akiwa na familia yake kabla hajawa mtumwa










No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...