Thursday, 30 January 2014

NMB YADHAMINI MKUTANO WA TAASISI ZA KILIMO AFRIKA MASHARIKI


Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha biashara ya Kilimo NMB, Robert Pascal (pili kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na kilimo. Maonyesho haya yameshirikisha wadau mbali mbali kutoka Afrika Mashariki. NMB ikiwa ni miongoni mwa wadau wakubwa wa Kilimo nchini


Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipitia kitabu chenye maelezo ya bidhaa za Kilimo zinazo tolewa na NMB huku akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha biashara ya Kilimo NMB, Robert Pascal (pili kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na Kilimo uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano kitengo cha Kilimo Christopher Mwalugenge na Meneja Uhusiano wa wateja wakubwa, Shilla Senkoro.
CHANZO: Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...