Stanislas Wawrinka ametwaa kombe la mashindano wa wazi Australia 2014 baada ya kumshinda mchezaji namba moja wa tenisi duniani Fafael Nadal, jijini Melbourne,Australia.Katika mchezo huo Rafa kama anavyoitwa na wengi,alipata majeraha ya mgongo yaliyomfanya kucheza chini ya kiwango.
Wawrinka alimshinda Rafa kwa 6-3 6-2 3-6 6-3.
No comments:
Post a Comment