Friday, 14 February 2014

HAPPY VALENTINE'S DAY KWENU WOTE!





Kila la heri kwa wadau wote wa rainbow-tz blog. Sikukuu ya mtakatifu Valentino ni siku ya kuonyesha upendo kwa waliokuzunguka kama vile familia yako, rafiki zako au wapenzi wako. Ni siku ya kuwa pamoja na unaowapenda mkishiriki kula pamoja na hata kubadilishana zawadi.Vilevile tuonyeshe upendo kwa wale ambao wangependa kuwa pamoja na wapendwa wao lakini leo hawapo.Hii inalenga watoto waliopoteza wazazi wao au wanaoishi katika mazingira magumu,wakina mama wajane na kina baba waliopoteza wake zao.Sherehekea sikukuu hii ya Valentine kwa kuonyesha upendo wa kweli kwa wale waliokosa matumaini.
HAPPY VALENTINE!
Rainbow-tz blog

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...