Familia hii ikiyahama makazi yao
Watu wameyahama makazi yao kutokana na mafuriko kama picha zinavyoonyesha huko Moor land Somerset, Uingereza.
Mito na vijito ilifurika hivyo kusababisha maji kujaa kila sehemu.
CHANZO: Daily mail Uk
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment