Saturday, 8 February 2014

ROSE NDAUKA AMUWEKA HADHARANI MTOTO WAKE.


Rose Ndauka
Star wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amemuweka hadharani mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni na kumpa jina la Naveen yeye na baba mtoto wake Malick Bandawe(Chiwaman). Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Rose aliweka picha ta mwanae jioni hii na kuandika "nachukua nafasi hii kuwashukuru wote mlioweza kuwa na mimi na mpaka sasa tumepata mtoto wetu anayeitwa naveen na leo ikiwa tunasogelea arubaini yake tarehe 9/02/2014 basi nawaomba dua zenu na hii ndio zawadi niliopata kwa mungu nashkuru sana kwa zawadi hii shukran mama yangu mzazi na malick kwa zawadi hii... nawapenda sana"


 Neveen 

CHANZO: Swahili pplanet world

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...