
Sinema za kitanzania kutoka swahiliwood zikiwashirikisha wasanii kama Yvonne Cherry(Mona lisa),Ben Pol, Lumwolwe Matovolwa, Bi Kiroboto na wengine zinasubiriwa kwa hamu kutoka mwezi huu wa Februari.Sinema hizi zitasambazwa na kampuni ya Proin.
Jitayarishe kununua kopi yako.
Angalia Trailer ya sinema NETWORK iliyochezwa na Monalisa
Bofya READ MORE kuona trailer
Trailer ya sinema SUNSHINE iliyochezwa na Ben Pon na Bi Kiroboto
No comments:
Post a Comment