Friday, 28 March 2014

PICHA ZAIDI ZA HALI YA MVUA KATIKA JIJI LA DAR


Adha haikuwa kwa magari tu bali hata kwa watembea kwa miguu.

Barabara nyingi leo zilitawaliwa na foleni ndefu




Hali barabarani haikuwa shwari kutokana na maji kujaa

Makazi ya watu nayo hayakusalimika

Picha na rainbow-tz blog,Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...