Thursday, 27 March 2014

PICHA:ZIARA YA RAIS KIKWETE WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA,AZINDUA MIRADI MBALIMBALI




mh.Rais Dr.Jakaya Kikwete akikagua ujenzi wa Maabara kwa shule ya Sekondari ya Kata ya Potwe leo mchana na kupanda mti katika shule hiyo


Mh.Rais Dr.Jakaya kikwete leo alizindua mradi wa maji wa Kwamhosi ambao vijiji nane vitapata maji safi na salama katika kata ya Nkumba na utafika mpaka kata ya jirani ya Magila












Wakazi wa Muheza wakiwa wamejitokeza kumlaki rais Kikwete
Photo credit: Makame Seif

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...