Thursday, 27 March 2014

PITA PITA YA KAMERA YA RAINBOW BLOG KATIKA JIJI LA DAR LEO: ANGALIA ADHA YA MVUA,MAFURIKO KILA MAHALI

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar zimeleta adha kwa wakazi wa jiji. Wengi wamejikuta wakishindwa kutoka katika majumba yao kutokana na kuzingirwa na maji. Magari mengi yamekuwa yakipita kwa shida kutokana na kujaa kwa maji kwa kiasi kikubwa.Pita pita ya kamera ya blog hii ilibahatika kupata baadhi ya taswira ya jinsi hali ilivyo.WITO: TUZINGATIE MAELEKEZO KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA ILI KUEPUKA MADHARA!


Mtaa wa Uhuru




Mtaa wa Uhuru


TANESCO Mikocheni

Mikocheni, maeneo ya Arcade
Picha zote na James Nindi,Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...