Friday 11 April 2014

AMA KWELI KILA SHETANI NA MBUYU WAKE!

Pamoja na wengi kujua kuwa simba ni mkali, imedhihirika kuwa na yeye ana mbabe wake na si mwingine zaidi ya NYATI au MBOGO, kama anavyojulikana.Simba na nyati ni  swala la nani kamuwahi mwenzie! Picha inaonyesha jeraha kubwa kwa mfalme wa msituni (simba), alilopewa na nyati.Hii inathibitisha usemi wa wahenga kuwa KILA  SHETANI NA MBUYU WAKE!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...