Tuesday 22 April 2014

HAPPY BIRTHDAY RAINBOW-TZ KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA!



Tarehe 21-04-2014 blog hii ilitimiza mwaka mmoja toka iingie hewani.Kwa niaba ya rainbow-tz blog,ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote wanaofuatilia matukio mbalimbali yanayowajia kupitia rainbow-tz blog kwani  utembeleaji wenu katika blogu hii ndiyo unatupa moyo kuendelea kuwaletea posti mbalimbali zenye kuelimisha.


Wito kwa wasomaji ni msisite kutoa maoni yenu pale mnapoona inafaa. Mwisho, tuendelee kuwa pamoja kupata mambo mazuri hasa kuhusu upendezashaji wa nyumba,ndani na nje,urembo, mitindo na mengine mengi tutakayoona yana manufaa kwenu wasomaji wetu.

Karibuni sana!
Anna Nindi,
mmiliki wa rainbow-tz blog

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...