Thursday, 3 April 2014

KATUNI YA LEO

Foto: WASWAHILI WALISEMA, 

"Pafukapo Moshi, Kuna Moto"

Hiviii!!?? LIMBWATA Lipoo???. Ni nini?? Uchawi au Nguvu za Giza?? Au ni Dhana tuu?? Au Ni Ujanja Ujanja tuuu????

Majibu y huyu Mzee Yananipa Fikara Nyingi mno. Wewe unajua nini kuhusu Limbwata?? Nielimishe Tafadhali.

LIMBWATA

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...