Tuesday, 8 April 2014

PICHA: KARUME DAY ILIVYOKUWA JANA HUKO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, wakati wa hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM  Kisiwandui jana.PICHA:RAMADHAN OTHMAN

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...