Friday 11 April 2014

PICHA: MVUA KUBWA INANYESHA JIJINI DAR MUDA HUU

Hali ilivyo jangwani.Jamani wakazi wa mabondeni hameni,hali si nzuri.Maana kwa taarifa tulizopata ni kuwa mvua imenyesha siku nzima ya leo.Sasa kama itaendelea hivi kwa usiku mzima watu wa mabondeni watasalimika kweli?






No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...