Jiji la Stockholm leo jua linawaka vizuri kweli.Angalia picha nilizopiga leo nikiwa mitaani.Hii inaashiria kuwa msimu wa baridi unayoyoma.
Usafi hadi raha!
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment