Sunday, 27 April 2014

THE KITCHEN: DESIGNS TOFAUTI ZA UJENGAJI WA JIKO

Kwa mdau unayependa nyumba yako rainbow-tz blog ndiyo mahali pako kwani tumejikita zaidi katika kuelimishana jinsi gani unaweza kutengeneza mazingira ya nyumba yako au kubadilisha mwonekano wa mazingira hayo.Yote haya yanapatikana katika lebo"home decor". The bedroom ipo kuelimisha upangiliaji wa chumba cha kulala kuanzia samani mpaka mashuka, "The living room" inaelimisha upangiliaji wa sebule kuanzia samani, mapazia n.k. "The dinning room" inaelimisha jinsi ya kupangilia samani katika chumba cha kulia chakula n,k. "The kitchen" iaelimisha jinsi unavyoweza ku-design jiko lako iwe ni kubwa au dogo.Vilevile tunaelimishana jinsi ya ku-design bustani za maua na kufanya mazingira ya nyumba kuwa na mvuto zaidi.
Usisite kutoa maoni yako msomaji kwani haya yote ni katika kuelimishana.











No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...