Saturday 12 April 2014

THE LIVING ROOM: PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA SAMANI CHACHE

Si lazima ujaze samani ili kuleta mwonekano mzuri katika sebule lako.Unaweza kuweka sectional sofa moja tu na kupata mwonekano mzuri.Hii inasaidia kuweza kuweka  vitu vingine muhimu kama rafu(shelf) kwa mapambo au vitabu kiasi, maua au mimea ya ndani n.k,Kuwa na samani chache kunasaidia kufanya kila kitu kilichopo kuonekana vizuri,(mfano picha za ukutani)  na kuleta mvuto wa aina yake.Angalia picha zifuatazo:






No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...