Saturday 19 April 2014

WADAU,KUNA TATIZO GANI KUVAA NGUO KAMA HII TANZANIA?

funnelneck + camo, created by shopwithm on Polyvore
Wadau, nimekuwa nikisia kuwa watu wanaovaa nguo zilizo na mwonekano wa sare za jeshi la wananchi Tanzania,kama shati hilo hapo juu,hukamatwa na kuadhibiwa na wanajeshi wa JWTZ. Mimi naona kama mwananchi angevaa sare ya jeshi halisi ambayo inajulikana huyo ndiye wangekuwa na tatizo nae.

SWALI: Je,kuna tatizo gani kuvaa nguo kamashati hilo hapo juu?Nchi nyingi duniani majeshi yao huvaa sare zinazofanana na shati hili na wananchi wanavaa mavazi mengi tofauti kama suruali, T-shirt, mashati,viatu,mikoba, mikanda n,k na hawabugudhiwi kabisa na majeshi ya nchi zao.Je,kwa Tanzania tatizo ni nini?

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...