Kundi la Weusi likipiga shoo ya nguvu ndani ya usiku wa Kili, Mlimani City.
Madee akitumbuiza
Ommy Dimpoz na Vanessa Wakitumbuiza
Madancer wa bendi ya Twanga Pepeta wakiwasubiria wenzao wa Extra Bongo walipokuwa wakishindana kutoa show
Hawa ni wachezaji wa Extra Bongo wakitoa burudani
Kalala Junior
Mpoki na Shadee
Fred Saganda akitoa burudani
Alice kushoto akifuatiwa na Vanessa Mdee,Maua na Meninah
Cassim Mganga akimtunza Vanessa baada ya kuimba wimbo wake wa Awena vizuri
Menina aliimba Sumu ya Penzi wa Belle 9
Kadjanito akiimba wimbo wake wa Maumivu
Diamond ane alitoa show nzuri sana
Wema akienda kumpongeza Diamond wakati wa show
CHANZO: GPL& Bongo 5
No comments:
Post a Comment