Converse ninazozipenda mimi ni hizi ballerina.Bahati mbaya nimehangaika sana kupata rangi nyeusi au nyeupe bila mafanikio.Nikizipata zinakuwa ni size ndogo.Kwa jinsi ninayozipenda nitanunua tu rangi yeyote kati ya hizi hapo chini!Je,wewe unaona rangi ipi ni nzuri?
1: Rangi ya pinki
2: Rangi ya bluu ya bahari
3: Rangi ya zambarau ya mpauko
No comments:
Post a Comment