Friday, 27 June 2014

PITPITA YA KAMERA YA RAINBOW-TZ JIJINI STOCKHOLM, LEO.

Watu wamechangamka na kila mtu ana furaha.Unajua kwanini? Watu wana pesa hivyo ni tarehe nzuri.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...