Tuesday 10 June 2014

RAIS KIKWETE AHANI MISIBA YA KANALI MSTAAFU ALI MWANAKATWE, MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA “MZEE SMALL” JIJINI DAR

j1
j2
  Mama Salma Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba "Mzee Small" wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam.


j3
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba "Mzee Small" nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam 
j4
j5
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba "Mzee Small" nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu "Mzee Small"
j6
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu Saidi Ngamba "Mzee Small" wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam.
jk1
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam.
jk2
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba na maafisa waandamizi wa jeshi na waombolezaji wakiwa katika shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam.(Martha Magessa)
jk3
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwenya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam.
jk4
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wafiwa kwenya shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam.(picha na Ikulu )
CHANZO:FRANCIS GODWIN

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...