Tuesday, 2 September 2014

PICHA:SALE ZIPO ILA SI KATIKA MADUKA YOTE

Sale zipo ila si katika maduka yote.Maduka mengine wateja wanajishauri kama waingie au la. Haya ni maduka yenye majina ya wabunifu wakubwa ambako bei zao zipo juu. Mchina anaharibu biashara za watu kwa kutengeneza kopi za bidhaa nyingi zinazotengenezwa na wabunifu wakubwa. Picha hizi zimechukuliwa jijini Stockholm, Sweden.



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...