Friday 3 October 2014

CONTAINER GARDENING: KUWA MBUNIFU KATIKA UOTESHAJI MAUA NYUMBANI KWAKO

Katika post nyingi za nyuma nilishatoa aina nyingi za "container gardening".Na wengi wameniandikia kuhusiana na kuvutiwa na makala hizi uoteshaji wa maua ulio wa kibunifu.
Tuendelee kuangalia aina mbalimbali ya ubunifu.
Chair Planter,.
old chair



great idea for an old chair.
Chair Planter

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...