Thursday, 16 October 2014

HEKA HEKA ZA VITAMBULISHO VYA URAIA JIJINI TANGA

Wakazi wa maeneo ya Usagara Tanga na viunga vya jirani,wakiwa wamepanga foleni kujiandikisha  kupata vitambulisho vya uraia.Kama na wewe ni wa maeneo hayo wahi katika kituo kilichopo nyumba za bandari au shule ya sekondari, Usagara.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...