Saturday 11 October 2014

JIKONI KUNANI?

Katika jikoni kuna nini leo nimetayarisha chakula kitamu na chenye virutubisho vingi.Pengine si chakula kilichozoeleka na wengi.Angalia picha za maandalizi na nitakuletea picha ya chakula chenyewe mwisho.Bahati mbaya kuna baadhi ya hatua sikupiga picha ila nitatoa muhtasari.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...