
Ni mchanganyiko wa wali uliopikwa, vitunguu maji (kata vipande vidogovidogo), kabichi iliyokatwa vipande vidogo wastani kiasi kidogo, pilipili hoho nyekundu 1, pilipili hoho kijani 1, unga wa binzari vijiko 4 vya chai, unga wa pilipili hoho nyekundu vijiko 3 vya chai, soya sosi vijiko 2 vya chai, mafuta ya kupikia vijiko 4 vya chakula(unawza kuongeza), chumvi kijiko 1 cha chai(unaweza kuongeza kwa ladha unayotaka), kitunguu swaumu, vipande vidogo vya steki kuku ya kukaanga au kuchoma gramu 400, njegere 1/2 kikombe na kamba gramu 100(prawns).
Mlo huu unafaa kuliwa na saladi.Ni mlo mzuri kwani una virutubisho vingi.
No comments:
Post a Comment