Saturday 11 October 2014

THE BEDROOM: SAMANI KATIKA CHUMBA CHA MTOTO NA MPANGILIO WAKE

Unaweza kupamba vyumba vya watoto wako kulingana na jinsia.Kuna samani kwaajili ya watoto wa kike na zipo kwaajili ya watoto wa kiume.Kama una uwezo na unataka kupangilia kwa jinsi hii,tafadhali usichanganye na kumwekea mtoto samani zisizoendana na jinsia yake. Vilevile zipo samani kwaajili ya jinsia zote na unaweza kutofautisha jinsia za watoto kwa rangi ya mashuka na rangi ya chumba,mfano pinki ni maalum kwa watoto wa kike na blue ya kupauka ni maalum kwa watoto wa kiume n.k. 
Angalia picha zifuatazo kuweza kupata mwangaza kidogo.


Valencia kwa Mtoto wa kike

Twin bed in pink kwa mtoto wa kike


Car bed kwa mtoto wa kiume

Maalum kwa mtoto wa kiume kutokana na rangi zilizopo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...