Mimi ninapenda sana kupika hivyo nikiwa na muda hupenda kusndaa chakula kizuri kwaajili ya familia.Picha zinaonyesha baadhi ya vyakula nilivyoandaa kwaajili ya meza ya krismasi. Nilijitahidi wadau maana huwa sina masihara na jiko!
Mwonekano wa sahani yangu!Yummy yummy. |
Samaki aina ya salmon wakiwa wamekaangwa
Kuku wa kuchoma
beet root sallad
Saladi ya tango, parachichi na nyanya
No comments:
Post a Comment