Thursday, 4 December 2014

TANGAZO: NYUMBA YA KUPANGA YENYE SIFA ZILIZOTAJWA,INAHITAJIKA HARAKA

Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar.
Maeneo
  • Kijitonyama
  • Kinondoni
  • Makumbusho
  • Mikocheni B.
  • Mwenge
  • Mwananyamala Komakoma
Aina ya nyumba:
  • Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master)
  • sebule
  • jiko
  • choo cha jumuiya
  • Umeme wa luku inayojitegemea
  • Maji
Kwa mwenye nyumba wasiliana na 0714 686 686

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...