Bougainvillea ni maua yenye kupendeza kutokana na jinsi utakavyobuni uoteshwaji wake.Bougainvillea zipo za aina na rangi mbalimbali.Mimi binafsi ni mpenzi wa maua haya. Msomaji,kama una nafasi ya kutosha katika nyumba yako,panda maua haya na hutajuta! Hebu na tuangalie aina tofauti za Bougainvillea katika picha zifuatazo:
No comments:
Post a Comment