Wengi tuna design majiko yetu na kukumbuka vitu
vyote ila tunasahau sehemu za kuhifadhia vitu kama vitunguu, viazi, vitunguu
saumu n.k. Vitu hivi kila mtu huviweka anapotaka yeye na hivyo wakati mwingine
kuleta mwonekano usiopendeza. Unapojengewa makabati jikoni kwako,kumbuka
kujenga makabati ya kuhifadhia mbogamboga hizi. Pata picha kamili ya mwonekano
katika picha zifuatazo:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment