Katika kuremba nyumba
nyumba, kila mtu anavutiwa na rangi fulani.Kuna wanaopenda rangi zilizopoa na
kuna wanaopenda rangi zilizokolea. Mimi binafsi ninapenda rangi zilizopoa kwani
hunifanya kupata utulivu wa nyumba na kuiona nyumba kama nyumba!Rangi za majiko
niliyovutiwa nayo ni kama yafuatayo:
I love the granite countertops
Glass & shaker cabinets, marble countertop
No comments:
Post a Comment