Saturday, 28 February 2015

GAUNI LENYE SHANGA ZA LULU LA LUPITA NYONGO LILILOIBWA, LAPATIKANA

0227-main-lupita-nyongo-getty-01

Hatimae gauni la  muigizaji wa kike Lupita Nyongo,lililoibwa kutoka katika hoteli aliyokuwa akikaa,limepatikana. Gauni hilo lililotengenezwa kwa shanga za lulu alilivaa katika tuzo za Oscar.


Mwizi alitoa shanga mbili kutoka katika gauni hilo kwenda kujua kama zilikuwa ni lulu halisi au la na aligundua kuwa hazikuwa halisi kama ilivyoripotiwa. Baada ya kuona juwa shanga za gauni hazikuwa lulu halisi,wezi waliamua kulirudisha gauni hotelini.
Calvin Klein,ambao ndiyo wabunifu wa gauni hilo wamekanusha kuwa hakuwahi kusema popote kuwa gauni hilo lilitengenezwa kwa shanga za lulu halisi au la.
022715_lupita_dress_sub



Habari hii imetafsiriwa kutoka  tmz

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...