Saturday, 28 February 2015

THE GARDEN: JE,UNAYAFAHAMU MATUNDA HAYA?



Ninayatamani sana matunda haya ambayo wakati wa utoto wangu nimeyala sana.Kwa wale wa Dar es salaam,yanapatikana wapi? Niliyajua kwa majina ya topetope au stafeli.Je,wewe mdau, unayajua kwa majina gani?

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...