Wednesday 18 February 2015

THE KITCHEN: JINSI UNAVYOWEZA KUREMBA JIKO LAKO KWA RANGI NA SAMANI NYEUPE

Mimi ni mpenzi wa rangi nyeupe ndani ya nyumba.Huwa ninahisi utulivu mkubwa kama nyumba ina rangi hii.Ila kila mtu ana mapenzi yake yanayopelekea kuchagua rangi. Kwangu,rangi nyeupe huonyesha usafi na utulivu.Hii imepelekea nipende rangi nyeupe jikoni ili kuhisi hali ya usafi huo.
 Tuangalie baadhi ya picha zinazoonyesha upambaji wa jiko lenye rangi nyeupe.










No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...