Mito ya kutupia
katika makochi huleta mvuto wa aina yake hasa unapopangilia rangi.Mito hii huwa
ipo katika ukubwa mbalimbali kulingana na matakwa ya mtu.Unaweza kutupia katika
size moja au kuchanganya size mbili tofauti.Mimi ni mpenzi wa mito hii na
hupenda kuipangilia kwa kuchanganya rangi. Angalia picha hizi zitakusaidia na
wewe kuongeza mvuto katika nyumba yako.



No comments:
Post a Comment