Mimi ni mpenzi sana wa suruali nyeupe za pamba al
maarufu kama linen.Suruali hizi ni
nzuri sana wakati wa majira ya joto(summer).Zipo katika mitindo tofauti
kulingana na umbo lako na mapenzi yako wewe mvaaji. Katika kabati langu huwa
sikosi suruali hizi. Jaribu na wewe kutafuta yako na hutajuta!




No comments:
Post a Comment