Friday 6 February 2015

UTALII WA NDANI

Tanzania imejaliwa kuwa na mbuga pamoja na hifadhi nyingi za wanyama ila wengi wetu hatujawahi kutembelea.Hii labda inatokana na majukumu au kutokuelewa nini maana ya utalii wa ndani.Binafsi nilishatembelea Ngorongoro, Manyara, Mikumi na Saadani ila ningependa kutembelea mbuga/hifadhi nyingine zaidi.Kwa wale mliopo Tanga, kuna zoo ya Wizara ya Maliasili na Utalii katika eneo la Mwahako,barabara ya Pangani, mnaweza kutembelea angalau kumwona simba katika uhalisia.Si simba peke yake, kuna chatu, chui n.k.Nimebahatika katumiwa baadhi ya picha ili ku-share nanyi.

Simba


Chatu

Chui

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...