Saturday 21 March 2015

JINSI SNOW ILIVYOTUVAMIA TENA JANA!

Jijini Stockholm,jana  mchana snow ilianza kuanguka mpaka majira ya saa 2 usiku. Leo hali ni kama inavyoonekana katika picha. Snow ilituvamia maana snow ya mwisho kuanguka  ilikuwa ni mwezi mmoja uliopita. 

Kifupi tulikwishasahau kama tulikuwa na snow.



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...