Wakati mwingine si lazima
mtu kubeba mkoba(handbag) mkubwa. Inaweza
ikawa una safarianbayo haihitaji kuwa na vitu vingi zaidi ya simu yako na pochi
ya pesa pamoja na kadi za benki n.k. Hapa itakubidi ubebe mkoba mdogo kama huu
unaoonekana hapa chini. Ni muhimu uwe na mikoba ya aina yote na siyo kujaza
mikoba mikubwa tu na ukaonekana kituko kuibeba sehemu zisizostahili. Huo ni
ushauri tu.
![](https://secure-i4.ztat.net//large/TO/25/1H/04/3Q/11/TO251H043-Q11@14.jpg)
![](https://secure-i5.ztat.net//large/TO/25/1H/04/3Q/11/TO251H043-Q11@13.jpg)
![](https://secure-i6.ztat.net//large/TO/25/1H/04/3Q/11/TO251H043-Q11@12.jpg)
![](https://secure-i3.ztat.net//large/TO/25/1H/04/3Q/11/TO251H043-Q11@15.jpg)
No comments:
Post a Comment