Saturday 21 March 2015

TEMBEA UONE: MAFENESI YA KISARAWE




Katika tembea yangu,nimetembelea wilaya ya Kisarawe mara nyingi sana.Kuna kipindi tulikuwa tunakwenda Kisarawe kila siku kwa muda wa miezi miwili kikazi.



Kisarawe ni wilaya iliyopo mkoani pwani. Katika wilaya hii, mafenesi yanalimwa kwa wingi.Je, mbali na kuyatumia kama matunda na chanzo cha kipato,unajua wakazi walikuwa wanafanyanini mafenesi? Walikuwa wanayatumia katika kupanga foleni za kwenye mabasi! Hii  ni habari ya kweli.

Imeandikwa na Anna Nindi

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...