Monday, 2 March 2015

THE GARDEN: JE,UNAYAFAHAMU MATUNDA HAYA?


Matunda haya nayajua kwa jina la ”maembe ya kizungu”. Ni matamu kweli. Je,wewe unayajua kwa jina gani?

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...